Pages

Sunday Inspiration : Psalms 23 Sheng Version


Its Sunday again and I hope you had a nice week. I received this Verse from a friend and I would like to share it as our Sunday inspiration: 
Psalm 23 (sheng version)
Sir God ni Mtu nguyas,
Sitahustle na sitabeat,
Yee hunilead kwa mawaba zime relax,
Na anabambisha roho ya myn,
Hunichapia manjia za para juu ya jina yake,
Hata nikipitia machuom ngori za kuukata,
Manze sita tense,
Juu ako na mimi mbaiya!
Kiboko yake ya uzito inanipea syk kwa lyf.
Huniangushia bash ya nguvu mbele ya

watiaji na mahaterz,
Yee hunipaka ma colone 'sh sh sh' na hazikatiki,
Kweli nitabangaiza kwa keja yake milele!
Wenye wanatambua waseme AMEN!!

Lets keep vigil and commit out plans to God for us to prosper and succeed in all our endeavors. 

Have a blessed Sunday and have a Good Week Ahead

See Last Sunday Inspiration : How to Stop Worrying

No comments:

Post a Comment